Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara Fomu ya Mrejesho

Tovuti ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Kilele cha Sherehe za Muungano

Sherehe za Kilele cha kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika  na Zanzibar zitafanyika tarehe 26  Aprili, 2014  katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kabla ya Sherehe hizo kutakuwa na Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja Tanzania Bara na Viwanja vya Maisara, Zanzibar kuanzia saa 4:00 usiku wa tarehe 25 April 2014. Marais wanne wa nchi za Afrika Afrika Mashariki akiwemo Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi ni miongoni mwa marais watakaohudhuria sherehe hizo. Wengine ni Rais Joyce Banda wa Malawi, Mfalme Mswati III wa Swaziland, mfalme Letsie III wa Lesoto.

Matukio yajayo

22

Mar

Fainali za Mashindano ya Tamasha la Muziki.

24

Apr

Fainali za Kombe la Muungano

25

Apr

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26

Apr

Sherehe za Kilele cha Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar