Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara Fomu ya Mrejesho

Tovuti ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

RATIBA YA MATUKIO MBALIMBALI YA MAADHIMISHO NA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUANZIA TAREHE 1 MACHI - 26 APRILI, 2014

SN: Tarehe Shughuli Mgeni Rasmi Muda Mahali
1 01 Machi, 2014 Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein. Saa 5:00 asubuhi. Hoteli ya Bwawani,Zanzibar
2 08 Machi, 2014 Tamasha la Muziki wa Kizazi Kipya na Tamasha la Utenzi Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk Saa 11:00 Jioni Uwanja wa Tanganyika Packers, Dar es Salaam
3 13 Machi, 2014 Kongamano kuhusu Mtangamano wa Kikanda wa Afrika Mashariki Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Benjamin William Mkapa. Saa 4:00 asubuhi Ukumbi wa Mikutano wa Zanzibar Beach Resort,Zanzibar
4 15 Machi, 2014 Tamasha la Muziki wa Dansi (Bendi) na Tamasha la Muziki wa Taarab Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt . Fenella Mukangara (Mb) Saa 11:00 Jioni Hoteli ya Bwawani,Zanzibar
5 18 Machi, 2014 Kongamano kuhusu Muungano wa Bara la Afrika Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim. Saa 4:00 asubuhi Ukumbi wa Mikutano Benki Kuu ya Tanzania, Dares Salaam.
6 19 Machi, 2014 Kongamano kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal. Saa 4:00 Asubuhi Ukumbi wa Mikutano wa Zanzibar Beach Resort,Zanzibar.
7 22 Machi, 2014 Fainali za Mashindano ya Tamasha la Muziki Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Saa 8:00 Mchana Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam.
8 15–19 Aprili, 2014 Ufunguzi wa Maonesho ya Wizara na Taasisi zinazohusika na Muungano (15/4/2014)

Kufunga Maonesho ya Wizara na Taasisi zinazohusika na Muungano (19/4/2014)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Seif Shariff Hamad.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo K. P. Pinda (Mb).
Saa 4:00 Asubuhi

Saa 8:00 Mchana
Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam

Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
9 24 Aprili, 2014 Fainali za Kombe la Muungano Rais wa Awamu ya Sita wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume.. Saa 9:00 Alasiri Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 25 Aprili, 2014 NishaniHotuba

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibarbr

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo K.P. Pinda(Mb)

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif A. Iddi (Mb)
Saa 10:00 Jioni

Saa 1:30 Usiku

Saa 4:00 Usiku

Saa 4:00 Usiku
Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam


Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam

Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam

Viwanja vya Maisara,Zanzibar
11 26 Aprili, 2014 Sherehe za Kilele cha Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Chakula cha MchanaTafrija Fupi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Saa 2:00 Asubuhi

Saa 8:00 Mchana

Saa 12:30 Jioni
Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam


Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam


Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam

NB: Miradi mbalimbali ambayo itatakiwa kuzinduliwa itawekwa kwenye ratiba.