Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara Fomu ya Mrejesho

Tovuti ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Kanusho

Maudhui ya Tovuti ya Muungano yanatolewa kwa madhumuni ya taarifa tu. Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya Tovuti hii. Tovuti ya Muungano halitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye Tovuti hii au kushirikishwa kwenye Tovuti hii kwa marejeo. Hakuna dhima itakayokubaliwa kwa taarifa yoyote au huduma itakayotokea katika mfumo mwingine wowote ule.

Hivyo  Tovuti ya Muungano haifanyi mambo yakuatayo

i) Haiidhinishi wala kuthibitisha maudhui ya tovuti ya mtumiaji wa tatu yeyote;

ii) Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; 

iii) Haichukui jukumu au dhima yoyote kwa hali au maudhui ya tovuti ya mtumiaji wa tatu.

Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye Tovuti ya Muungano, tafadhali wasiliana na nasi.

Wakala ya Serikali Mtandao,

Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma,

P.O.Box 4273,

Dar es Salaam,

Tanzania.

Simu : +255222129868/74

Nukushi : +255222129878

Barua pepe : info@ega.go.tz

Matukio yajayo

22

Mar

Fainali za Mashindano ya Tamasha la Muziki.

24

Apr

Fainali za Kombe la Muungano

25

Apr

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26

Apr

Sherehe za Kilele cha Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar