Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara Fomu ya Mrejesho

Tovuti ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Maktaba ya Picha
 • kakaMama Maria Nyerere akipokea nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano (Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu, Julius Kambarage Nyerere.
 • kakaRais Jakaya Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano (Daraja Nne)
 • kakaMama Fatma Karume akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano (Order) kwa niaba ya Marehemu Abeid Aman Karume Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi.
 • kakaRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Fatma Karume nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano (Daraja Nne) wakati wa hafla ya kutunuku nishani na tuzo za Miaka 50 Muungano zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano Ikulu, jijini Dar es Salaam jana usiku, Aprili 25, 2014.
 • kakaRais J.M. Kikwete akimtunuku Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Mhe. Benjamin William Mkapa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Order) wakati wa sherehe ya kutunuku nishani na tuzo iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano ikulu jijini Dar es Salaam, usiku wa jana.
 • kakaRais Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam
 • kakaRais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na viongozi mbalimbali wa
 • kakaRais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dl. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki wake zao katika hafla hiyo
 • kakaRais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kifaa maalum cha kufyatua mafataki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania
 • kakaMafataki yakilipuka katika viwanja vya ikulu ikiwa ni moja ya burudani katika sherehe hizo
 • kakaNaibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Msanii MwanaFA aka Binamu.
 • kakaNjiwa wakirushwa juu kama ishara ya miaka 50 ya Muungano ambapo watu waliorusha njiwa hao nao wametimiza miaka 50.
 • kakaMatembezi maalum ya kusheherekea miaka 50 ya Muungano.
 • kakaMaandamano ya pikipiki.
 • kakaRais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli
 • kakaAskari wa kikosi cha Mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50
 • kakaSehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano ambazo zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
 • kakaKikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano.
 • kakaRais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
 • kakaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nch
 • kakaRais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli
 • kakaAskari wa kikosi cha Mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50
 • kakaKikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
 • kakaAmiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 • kakaRais Kikwete akimkaribisha Rais Joyce Banda wa Malawi katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.Rais Banda kwa sasa ndiye mwenyekiti wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC.
 • kakaRais Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.
 • kakaRais Kikwete akimkaribisha Mfalme MswatiIII katika sherehe za miaka 50 ya Muungano zilizofanyika katika viwanja vya uhuru
 • kakaRais Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.
 • kakaRais Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika maadhimisho ya hsrehe za miaka 50 ya Muungano.
 • kakaRais Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta katika shrehe za miaka 50 ya Muungano
 • kakaRais Kikwete akifurahia wakati kundi la muziki wa Taarabu kutoka Zanzibar lilipokuwa likitumbuiza jukwaani.
 • kakaWake wa viongozi katika picha ya pamoja.

Albamu mbali mbali za Picha

Matukio yajayo

22

Mar

Fainali za Mashindano ya Tamasha la Muziki.

24

Apr

Fainali za Kombe la Muungano

25

Apr

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26

Apr

Sherehe za Kilele cha Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar