Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara Fomu ya Mrejesho

Tovuti ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

WasifuUtumishi:

Taarifa za Kina:
Tarehe ya Kuzaliwa: 1922-04-13

Mahali pa Kuzaliwa: Butiama-Musoma

Ndoa: Nimeoa

Sehemu ya viongozi na wageni waliohudhuria sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimu wananchi na wageni waliohudhuria sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Kikwete akimtunuku Mama Fatma Abeid Karume Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano kwa niaba ya marehemu Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Z Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano kwa niaba ya marehemu Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi waliohudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es sal Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, uwanja wa Uhuru DSM Kikundi cha Jeshi kikionyesha ukakamavu wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Viongozi na wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakiwa na picha za waasisi wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius K.Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume Vijana wakiwa katika matembezi ya uzalendo katika shamrashamra za kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe.Benjamin William Mkapa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano. Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964-2014) Baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam yakiwa na mabango yenye ujumbe wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue akionesha Hati halisi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mbele ya Waandishi wa habari huko Ikulu, Aprili 14, 2014. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akifungua kongamano kuhusu Muungano katika hoteli ya Zanzibar Beach, Zanzibar. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha Umoja baada ya kufunga maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es sa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ghalib Mohamed Bilal akitembelea maonyesho kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad akihutubia wananchi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho ya Miaka 50 ya Muungano katika Viwanja vya Kikundi cha Utamaduni cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikitumbuiza wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Miaka 50 ya Muungano katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam. Waandishi wa Habari waliokuwepo wakati wa mkutano kati yao na Waziri Membe Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb) akizungumza na Waandishi wa Habari, kuhusu Mafanikio ya Wizara kwa kipindi cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Baadhi ya Watumishi wa Umma kutoka katika taasisi mbalimbali za Serikali wakishiriki bonanza la pamoja la maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964-2014) lililofanyika katika Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akihutubia katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya  Muungano katika Hoteli ya Bwawani  Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania katika Hoteli ya Bwawani Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania katika Hoteli ya Bwawani, kul

Sheikh Abeid Amani Karume

WasifuUtumishi:

Taarifa za Kina:
Tarehe ya Kuzaliwa: 1905-08-04

Mahali pa Kuzaliwa: Zanzibar

Ndoa: Nimeoa

Hon. Dr. Jakaya M. Kikwete

Utumishi:
2005 - 2015 (Rais wa Tanzania)

Tanzania

Tanzania is located in Eastern Africa between longitude 29o and 41o East, Latitude 1o and 12o South.

Hon. Dr. Ali Mohamed Shein

Utumishi:
2001 - 2005 (Makamu wa Rais wa Tanzania)
2005 - 2010 (Makamu wa Rais wa Tanzania)
2010 - 2015 (Rais wa Zanzibar)

Kuhusu Muungano

Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliundwa tarehe 26 Aprili 1964, muungano huo ulizinduliwa rasmi na Mwalimu Nyerere, Rais wa Jamhuri ya Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Karimjee Hall, Dar es Salaam. Waasisi walibadilishana Kanuni za Misingi za Muungano na kuchanganya udongo wa Tanganyika na ule wa kutoka Zanzibar kuwa ni ishara ya muungano wa nchi mbili zenye uhusiano wa karibu wa muda mrefu kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar, uhusiano wa kisiasa uliotokana na harakati za kupigania uhuru zinazofanan na imani ya pamoja ya Uhuru wa Afrika yote. 

Zaidi

Habari Mpya

Tarehe : 2014-04-26

Sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyozaa nchi ya Tanzania zimefanyika leo mjini Dar es Salaam na kupambwa kwa maonyesho mbali mbali ya kijeshi pamoja na halaiki zilizoandaliwa na watoto.


Zaidi

Tarehe : 2014-04-25

Jakaya Mrisho Kikwete alietunuku nishani na tuzo kwa viongozi 86

Usiku wa kuamkia leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewatunuku nishani na tuzo viongozi mbalimbali wa Kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka 50.


Zaidi

Video


Matukio yajayo

22

Mar

Fainali za Mashindano ya Tamasha la Muziki.

24

Apr

Fainali za Kombe la Muungano

25

Apr

Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26

Apr

Sherehe za Kilele cha Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar